TPDC Yawashika Mkono Wana-Kagera

Kaimu Mkurugenzi wa TPDC Mhandisi, Kapuulya Musomba (kulia) akiwa amemshika mkono Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu mara baada ya kukabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shilingi milioni ishirini (20,000,000) kwa waathirika wa tetemeko Mkoani Kagera. Kufuatia hali inayoukabili mkoa wa Kagera kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea […]

Read More


Makamu wa Rais Atembelea Mitambo ya Kuchakata Gesi Asilia Madimba, Mtwara

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa mitambo ya kuchakata gesi asilia iliyopo Kijiji cha Madimba, Mkoani Mtwara, Ndugu Leoce Mrosso (wapili kushoto) wakati wa ziara yake Madimba Mkoani Mtwara. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia […]

Read More


Bodi ya TPDC Yazinduliwa

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa akiwa katika picha ya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi ya TPDC pamoja na Menejimenti ya TPDC, mara baada ya Bodi ya Shirika hilo kuzinduliwa katika Ofisi za TPDC jijini Dar es Salaam. Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imezinduliwa rasmi jijini […]

Read More


TPDC Kushirikiana na Kampuni ya Kitanzania

Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt. James Mataragio (kushoto) na Mkurugenzi wa Minjingu, Bw. Pardeep Hans wakipeana mikono mara baada ya kutiliana sahihi Mkataba wa Makubaliano (MoU) katika utafiti wa mafuta na gesi na kufanya tathimini za kina katika Kitalu cha Songo Songo Magharibi. Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya MINJINGU Mines […]

Read More


TPDC yawakutanisha wadau wa mradi wa “LNG” DAR

Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Prof. James Mdoe akifungua warsha ya siku mbili kwa Wadau wa Mradi wa kusindika gesi asilia nchini (LNG) jijini Dar es Salaam.   Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katikati ya juma liliandaa warsha ya siku mbili ya Wadau wa Mradi wa kusindika gesi asilia […]

Read More