TPDC Yachangia Milioni 10 Kujenga Ofisi ya Mtaa

Kaimu Mkurugenzi Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Mhandisi Kapulya Musomba akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 Mwenyekiti wa Mtaa huo Bw. Geofrey Chacha kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Mji Mpya-Pugu Mjohe Jijini Dar es Salaam, katikati ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Elizabeth […]

Read More


TPDC yachangia ukarabati wa Kituo cha Polisi Mtwara

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TPDC, Prof. Sufian Bukurra (wa pili kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tano kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, George Salala (wa kwanza kushoto) kwajili ya ukarabati wa Kituo cha Polisi Uwanja wa ndege Mtwara, wengine ni Kaimu Mkurugenzi wa TPDC Mhandisi, Kapuulya Musomba (kwa kwanza kulia), […]

Read More


Shule ya Sekondari Kisungu ya Ilala Yapokea Viti Kutoka TPDC

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limekabidhi viti 142 vyenye thamani ya shilingi milioni 6 katika Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo kata ya Kinyerezi jijini Dar es Salaam. Meneja Mawasiliano wa TPDC, Marie Msellemu akikabidhi viti hivyo amesema viti hivyo vitasadia kutatua changamoto ya wanafunzi kukosa viti shuleni hapo. Amengoze kuwa mchango huo wa […]

Read More


Kiwanda cha Vigae Mkuranga Kupatiwa Gesi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Mdini Prof. Justin Ntalikwa (aliyevaa shati la kitenge) akioneshwa na Kaimu Mkurugenzi Mtaendaji wa Kampuni ya Goodwill, Robin Huang (aliyenyoosha mkono kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mtaendaji wa TPDC (aliyenyoosha mkono kulia) eneo patakapo jengwa bomba la kuunganisha gesi katika kiwanda cha Goodwill cha kuzalisha vigae Wilaya ya Mkulanga […]

Read More


Prof. Ntalikwa: Gesi Mtwara Ipo kwa Wawekezaji

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Prof. Justin Ntalikwa amesema kuwa kiwango cha gesi asili kilichopo Mtwara kinauwezo wa kutumika kwa viwanda vipya vya mbolea Mkoani Mtwara. Prof. Ntalikwa amesema hayo mwishoni mwa juma katika ziara yake Mkoani Mtwara ya kujionea maeneo ya uzalishaji na utafiti wa gesi asilia Mkoani humo. “tumejiridhisha kwamba […]

Read More